@Sisimizi3 Dr sisimizi unachambua mambo kiupande upande, hili jambo lipo Sawa kwa kiongozi mkubwa wa serikali anayesimama kwa ajili ya wananchi. Lazima ifike mahala kiongozi ajue unataka nn kwa wananchi wake bila kuficha.
Sijaona kosa la baba level hapo
@Moondetz@HildaNewton21 hapana bwana mengine sio ya kumtupia raisi bwana...wewe unaugomvi na watu huko bar unataka polisi waje wakulinde kaka...
ukiona mtu kafanyiwa hivi ujue kafanyiwa na watu wenye roho.
uhasama wa mtu na mtu polisi wanaujuaje sasa...
@muandazi Stori tu kisaikolojia hakuna kitu kama hiki hasa Kwa kiumbe dhaifu kama mwanamke kuvumilia hizi takataka kumruhusu tena kelvin kuja nyumbani kwenye tafrija...labda wanawake wa kufikirika.
@ShirimaYvonne@iamsamkailo@justyfromNorth Kuna kesi mbili...
1. Kaka yako amekutwa kwenye MKARATUSI amemuinamisha helena wanafanya MAPENZI.
2. Dada yako amekutwa ameinamishwa anafanya mapenzi kwenye MKARATUSI.
Ipi inauma!? Ya kaka au dada!?
@samajey1942@CrownMediaTZ Wao ndio wanakufanya ule na kunya bila stress Kwa Sasa...
Huduma za afya zinatoka kwao...
Hata kiwanda Cha panadol hatuna...
Hata Cha kutengeneza sindano kuchoma tako lako hatuna...
Mbolea na pembejeo hatuzalishi nchini...
Hatuna ujanja kwenye hili...
Kimeumana haswa