@DevotaMinja@ChaummaTanzania Safi kabisa, halafu mbona huko mliko mnaonekana kuwa na furaha sana. Pia sijui boni yai anajisikiaje na stori yake ya kubumba ya vitenge vya ACT๐คฃ๐คฃ
@Jambotv_ Kwahiyo kwenye hilo group walikuwa wawili tuu yaan yeye na Devotha au ..maana inaonekana ukweli huo wa devota kutuma picha za vitenge anaujuq yeye tuu maana kwa ninavyowafahamu watu wa Chadema wangeshasema siku hiyohiyo aliyotuma vitenge