@BabaMwita It only takes one incident and one speech for a cogent president to show chagrin; condemn and chastise rather than condone these capricious acts of law enforcement agencies for them to be more circumspect. She is now complacent and doesn't care about the colossal forces policeTz
@Royaltv_plus Jeshi hili Mungu anawaona
Mnaona ni heri kukamata mtu anayesaidia wanafunzi wenzake kwa kuwakopesha lakini hamjali kabisa kutafuta na kukamata wasiojulikana?
Watu wanapotezwa
Watu wanauawa
Watu wanaonewa na wenzenu humo humo jeshin mwenu lakini hamtaki kukamata.
Jeshi hili!
@Benji_Fernandes Badala ya kufunga milango ya visa kwa wanasiasa, wao wanafungia wanafunzi na wafanyabiashara jamani! Sasa sisi wanafunzi tutafanyaje jaman
@lifeofmshaba Yaani watu wanafanyiwa security check hadi kwa kuvuliwa nguo? Na bata hivyo 2 out of 9 ndo wameruhusiwa na hata baada ya kuruhusiwa bado wanaendelea kuwa uchi.
This us so seruous.
Ivi huko states kuna nini cha ajabu ? Mbona ivo?
@PMadeleka Safari ya Arusha ya nini tena rafiki yangu? Nikajua unaruka zako states kuangalia kombe la dunia kwa mwezi mzima. Looo!
Ukipata bahati hiyo turushie na kaka zako walau tukwee pipa hata mara moja bro
@MwauraRobert2 Kwao ni watanganyika wako ajira binafsi. Sisi kwetu huku wazanzibari wameshika nyadhifa zote za serikali ya Tanganyika hadi urais.
Sisi ni wajinga
@AAgather I am deeply saddened by the dutch immigration authorities for racially profiling you my best friend and kindest human, Agatha.
For the record, dutch people are the meanest human being you will ever meet. They are the cause of deaths of millions South Africans during apartheid.
@Royal_Tv_Tz Huyu jamaa hajui kuwa chama ni watu. Chama ni philosophy na hakuna philosophy bila watu. That being said, chama hakiwez kuwa kikubwa kwa namna yoyote ile