Haya nyie wadada Kuna kile kioo cha GARDEN 79 mkienda chooni na ile club ya masaki LINK ndani mule sasa zinatosha video na picha aisee ๐tafuteni location nyingine ๐๐ผ mmmh.
DAR bhna unaenda zako kula BAR mara ghafla bin vuu POLISI hawa hapa wanakuja kuchukua watu kwa sababu mziki mkubwa io BAR hata hujanywa BIA unakula zako hata huskilizwi twende rumande ofsa dah hii moment๐๐๐ผ
Oya BRO club kuna NYIMBO zikipigwa we kausha tu waachie wadada ๐
ZUCHU - AMANDA
TYLA - WATER
AYRA STAR - WHO DAT GIRL
Kama LUGHA huelewi uliza tu๐