"One Is Just Too Small a Number to Archieve Greatness"
WhatsApp us >>> https://t.co/41NKGYCwta
Join us WhatsApp at:
https://t.co/XCWkxDizcp
Follow us: @WorldChickenHUB
Facebook:
https://t.co/tw81OIrGNR
@SaumuYanga@ReganTesla_ Ndio maana siku hizi unapata wanaume wanalia wameachwa, na wanaume wanajinyonga kisa mwanamke.
Wasanii nao wamepewa hongo kuaminisha jamii kuwa mwanaume anatakiwa kujiliza liza.
Hapa ndio unapata kundi kubwa la wanaume dhaifu.
Mwanaume kamili anatakiwa kuwa full option
@awarenesskills Ingejengwa ki Terminal kwamba ukiingia kilakampuni iko na ofisi pale. Yaani kinachofanywa na wamiliki Manzese, Shekilango, urafiki, Mabibo na Riversides ndio Serikali ilitaiwa kukifanya pale Mbezi Luis.
Kwasasa Wamiliki wanaifundisha serikali kwa vitendo Mbezi palitakiwa kuwaje.
@awarenesskills Ni sehemu ya Parking pekee hakuna cha ziada ukiondoa garage pale chini.
Hakuna huduma kwa abiria na mizigo yao.
Na hii stand haina uwezo wa ku-accomodate gari 100 at once.
Hakuna ofisi za Mabasi.
@BMushison@ngwalenjekileti@jsm000x Labda huyu Mzee awe hajui sheria na hajitambui. Ila yeye anaweza kumstaki aliyemuuzia (Mfanyakazi wa Kampuni) kisha kampuni kama mdhamini watajua wanaendelea kumficha mhalifu au wanamuweka wazi.
Mfanyakazi wa kampuni aliyekabidhiwa simu na kampuni ndiye anajua michezo yote.
@hass80093@ALPHONCESHAIJA@Tonytyga_@chapo255 Wafugaji wengi wa hapa nchini wali shift kwenye kuku wa Kisasa bila Kumjua mhjindani wao kwa undani, sera ya nchi na uhalisia wa mzunhuko kamili.
Washaingia kwenye mchezo hapo ndio mtu anaanza kushangaa.
@hass80093@ALPHONCESHAIJA@Tonytyga_@chapo255 Picha linaanza Wafugaji wengi wa Broilers Dsm wamewekeza kwa MindSet ya kwamba ni Kuku wanaolipa.
Wako under high Pressure. wako radhi kulipua ili tu awe na matokeo ya kubumbabumba.
Fact: Watu wanaofuga Broilers Dsm hawaruhusu familia zao kutumia haonkuku.