@godbless_lema Acha Ushamba mangi Familia yako ipo Canada na lisu Ublgiji alafu mnatudanganya sisi tuzuie uchaguzi ๐๐ Tunaijua hiyo pimbi kweli nyie
@HecheJohn Mimi sio Nabii ila chadema kinaenda kupotea kwenye Ulimwengu wa siasa na Lisu na lema wanajua kila kitu agenda iliyopo nyuma ya Hili ila hawasemi MPAMBANAJI HAKIMBII MAPAMBANO aliyewashauri hii mtajutia soon
-Mtu yoyote mwenye njaa anafanya maamuzi kama mnyama โ
-Shujaa ni yule anayefia katika uwanja wa vita na muoga ni yule anayefia ndani chumbani kwake."
NB:niwasomi wangapi wanaweza kusema hili?wawe na kazi/wasiwe na kazi waweze kuwa sauti?
@ummymwalimu ๐น๐น๐น๐น๐นDah mbona inatumika Nguvu kubwa sana kuaminisha watanzania kwamba wamepitishwa na mkutano mkuu wa chama na kwenye chama hakuna anayepinga hilo wakati mnajua kabisa mlichokifanya๐
@juliusmassabo Alafu badala ya kuponya majeraha kila siku wao ni kuzunguka kwenye media kuzungumzia uchaguzi niwaambie tuu Mwamba FAM saiz anaenjoy anawaangalia tuu maana na Ukumbi mlishindwa kulipia ๐น hawajui vile FAM alikuwa anajitoa kwaajili ya chama lkn wanasema pesa za Abdul๐ฅฒ
@aikande@freemanmbowetz Hata mimi sijamuelewa Ndugu katibu anatuvuruga si mlisema kulikuwa Hamna maridhiano na mkasema alilamba asali nyie vipi leo mnamwambia Raisi mlimpatia mswada
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
@godbless_lema Hao ni wapiga kelele kama wewe wapiga kura hawapigi kelele wanaonyesha kwa vitendo wqnachokitaka
Tukilinde chama tukitetee chama bila kuleta migawanyiko ambayo unailetea ya kijinga ARusha kumekushinda,Kanda imekushinda Rudi Canada ule maisha na Familia yako na sio kuleta vurugu