Try Masta Voice AI for free ๐๏ธ๐ฅ
Introducing Masta Voice AI โ tool inayogeuza voice notes, customer calls, meetings, interviews, lectures, na field reports kuwa taarifa unayoweza kuitumia.
Unapakia audio, Masta Voice AI inakupa:
โ Transcript
โ AI Summary
โ Translation
โ Business Report
โ Action Points
New version iko live:
โ Bugs fixed
โ Checkout/payment improved
โ Audio processing up to 5GB
โ Faster, smoother, more reliable
Voice is no longer just audio.
It is intelligence.
Start your free trial:
https://t.co/TwJmkBbwke
@mesejimasta
@abokinorthside Storage is where your files live.
MastaCloud is where your clients receive them.
Built for photographers:
โข Branded galleries
โข Watermarked previews
โข Secure downloads
โข Fast client delivery
https://t.co/C2lpEilusi
Si kila aliyenyamaza ameridhika.
Wengine hunyamaza baada ya kuchoka kueleza maumivu yao bila kusikilizwa.
Kuwa makini. Ukimya mwingine si amani, ni maandalizi ya kuondoka au kisasi.
Kama kitu ni cha bure na kinakupa faraja kupita kiasi, kuwa makini. Huenda wewe si mteja, bali ndiyo bidhaa.
Mtu usiyemjua akikupa chakula, jiulize kwa nini anakulisha.
Kuanzia leo, chunguza nia ya kila mkono unaokulisha kwa urahisi.
Faraja kutoka kwa usiyemjua mara nyingi huwa na gharama. Tatizo ni kwamba bei yake huwa imefichwa.
@MarekaMalili Hili fungu linaendana sana na wimbo huu wenye kutia nguvu.
Ukifika mahali nguvu zako zimeisha, usikate tamaa. Wale wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya.
Usikilize hapa ๐๐พ
https://t.co/BilQcG6x4o
@MarekaMalili Mwenyezi Mungu akupe sawa na haja ya moyo wako. Akutie nguvu, akushindie mapambano usiyoweza kuyaeleza, na akuongoze kuendelea mbele kwa neema na unyenyekevu. Amina ๐๐พ
Watu wachache sahihi, kwa wakati sahihi na kwa kusudi sahihi, ni bora kuliko umati usioongeza thamani.
Ichunguze circle yako kwa uaminifu:
Nani anakusogeza mbele?
Nani anakupotezea muda, nguvu na focus?
Chuja bila kujidanganya: ondoa liabilities, bakiza assets.
Circle yako inaweza kuwa leverage ya mafanikio yako au mzigo unaokurudisha nyuma.
Hakuna mtihani mgumu kama kushtuka usiku wa manane, unatega sikio usikie mlio wa feni au AC... ukisikia kimya, unajua kabisa LUKU imekupiga mkenge! ๐ฅต๐คฃ
โZamani ilikuwa ukiwaza giza na joto hadi asubuhi kichwa kinauma. Lakini sasa mambo ni kitonga Hauna haja ya kupaniki wala kutoka nje ya chandarua chako.
Unafungua zako tu SimBanking App yako, unamaliza mchezo fasta na usingizi mtamu unaendelea! ๐ฒ
โFanya hivi sasa hivi isikukute:
๐๐ฝ Fungua SimBanking App
๐๐ฝ Bofya Miniapps
๐๐ฝ Bofya LUKU
๐๐ฝ Weka Kiasi & Thibitisha
๐๐ฝ Pokea TOKEN zako hapo hapo
๐๐ฝWeka Kiasi
๐๐ฝThibitisha
๐๐ฝUtapokea TOKEN za Umeme
Endelea kukimbiza bili zako na miamala kwa SimBanking App ushinde safari ya Ulaya ๐ฐ , Serengeti ๐ฆ๐ au pesa kila wiki na mwezi.
#simbankingkimpangowako
Kosa kubwa unaloweza kufanya kwenye biashara ni kuchukua mkopo kwa ajili ya biashara moja, halafu ukaubadilishia matumizi.
Niliwahi kuchukua mkopo kwa ajili ya biashara A, nikauhamishia kwenye biashara B ambayo ilikuwa mpya.
Nilijifunza kwa maumivu.
Mkopo haupaswi kuwa hela ya kujaribisha wazo jipya.
Ukikosea, deni halitakusikiliza kwamba โnilikuwa na plan nyingine.โ
Usifanye hilo kosa.
Mimi nililipa ada yake kwa majuto ambayo simwombei hata adui yangu.
Wakuu, Wiki mpya, Bado ni Mwanzo wa Mwezi, tunapoweka stock ya Chakula, tusisahau kununua Protein ya kiwango kutoka Ziwa Victoria.
Tuamini, Tutume, Tunatimiza.
Tupigie 0762344677
@MarekaMalili@kalage_jr Hii ndiyo protein ya ukweli kutoka nyumbani ๐ฅ
Ziwa Victoria liko kazini. Watu wa stock ya mwezi msisubiri mpaka protein iishe ๐
Wakati mwingine tunahitaji kukumbushana jambo moja tu.
โUsiogope.โ
Si kwa sababu maisha yatakuwa mepesi.
Bali kwa sababu Mungu ameahidi kuwa pamoja nasi.
โUsiogope, maana mimi ni pamoja naweโฆโ โ Isaya 41:10 ๐
1. Amini kabla ya kuomba.
2. Sali kabla hujasaliwa
3. Sikiliza kabla ya kuzungumza.
4. Fikiri kabla ya kuandika.
5. Jaribu kabla ya kuacha.
6. Jiheshimu kwanza kabla ya kuomba kuheshimiwa
7. Thamini kile ulichonacho kabla ya kutamani kile usichokuwa nacho
6. Ishi kabla hujafa.