@MbonabonaA@VungaEl74 Ameshavuliwa uanachama kwahiyo automatically anakua ameshapoteza sifa ya kuwa makamu wa rais. Asingevuliwa uanachana means makamu wa rais mteule asingepitshwa na Bunge, bunge lingesubiri hadi tar 4 August.
@kabujeDr Siku ya 14 ni ovulation day kwa wanawake wengi ila sio lazima. Sometimes ovulation inaweza kuwa ni siku ya 16,17, au hata 18. Kama mwanamke kakosa mtoto kwa basis ya siku ya 14, upo uwezekano kwamba ovulation yake sio siku ya 14. Labda ni siku ya 16,17 au 18