@kigogo2014 Haki za klabu kubwa kushinda zote duniani (Man Utd) zikihujumiwa basi hakuna lengine. Haya tuachieni wenyewe si kikombe chenu?? Basi vurugu yetu na ndio maanake!!
TANZIA:
Tumepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa kifo cha aliekua mwenyekiti wetu wa bodi ya #GlobalPeaceFoundationTanzania Mama SABETHA MWAMBENJA.
Mwenyezi Mungu atutie nguvu katika kipindi hiki pamoja na familia yake.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.