Wananchi wa Kijiji cha Nangano wilaya ya Liwale mkoani Lindi wakichota maji katika shimo lililopo ndani ya Mto Mbwemkuru. Maji hayo pia yanategemewa na wakazi wa kijiji cha Lionja na Ngunichile.
Tar. 29.9.2020 nilisherehekea siku yangu ya kuzaliwa ndani ya Gereza la Singida Wafugwa na Mahabusu waliniimbia wimbo wa "Happy Birthday" Leo nanyi mnanitakia kheri ya kuzaliwa Mungu ni mwema kwetu sote, licha ya kukaa Gerezani siku 133 ila nguvu ni ileile
HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Tukiachana na kesi ambayo inaendelea ingawa watu wameteswa vibaya na mwengine atambuliki yupo wapi?
Hivi IGP Sirro uchunguzi wa shambulizi na kupigwa risasi kwa @TunduALissu ulifikia wapi? mpaka sasa.
#SirroHatoshi
So wazee wanawanyanyasa hadi wajeda sio sisi raia tu, sijapenda. Me nawaaminia sana wajeda,siku za mbeleni najua hamtotuangusha wanetu na mtakuwa mmechukizwa sana ila basi tu
Mara ya mwisho Moses Lijenje kuonekana ilikuwa mwaka jana
Siku ambayo yeye, Adamoo na Lin'gwenya walivamiwa na akina Kingai na kutekwa tangu siku mpaka leo hajawai kuonekana tena japo Mahita wakati anamtesa Lin'gwenya alimtamkia kwamba Moses walishamtupa.
#WhereIsMosesLijenje.?