HATUPIGANII CHAMA CHOCHOTE TUNATAKA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI.
Katika Biblia Takatifu Injili ya Marko 9:38–40. Kifungu hiki kinaeleza jinsi wanafunzi walivyomwona ya kundi lao, wakataka wamzuie.
Yesu akawaambia wasimzuie.
“Msimkataze; kwa maana hakuna mtu atakayefanya muujiza kwa jina langu, kisha mara aweze kuninenea mabaya. Kwa kuwa asiye kinyume chetu, yu upande wetu.”
Marko 9:39–40
Tunapo taka Utawala Bora,Utawala wa Sheria na Kuheshimiwa kwa Haki za Binadamu
1. Hatujifungamanishi na chama chochote cha siasa au dhehebu fulani bali sheria na Katiba pamoja na Msingi katika Utu na Haki za Binadamu.
2. Kama hii ndiyo Imani inayotuinganisha tuweke mkazo kwa mambo yanayotuinganisha kuliko kukazana na yanayo tutofautisha.
3. Iwe Mwana CCM, Mwana ACT au MwanaCHADEMA ili mradi ana amini katika Msingi wa Sheria, Katiba ,Utu na Haki za Binadamu na kutaka kukomeshwa kwa mashtaka ya kisiasa nchini kutaka Haki, Ukweli na Uwajibikaji asibezwe na wasiwepo watu wanao amini kumiliki mchakato wa demokrasia na kwamba mwingine yeyote hawezi kuwa sehemu hii kwasababu ya Msimamo wake au chama chake.
4. Tunahitaji zaidi kuweka Mkazo katika kufukuza Mwewe anayekamata Kuku ndipo tupate muda zaidi wa kumuonya kifaranga kutocheza kichakani. Tuna hitaji Umoja kwa gharama yeyote ile huu siyo wakati wa kuanza kuzodoana.
Gen Z wengi hawana vyama wana Ideology tujifunze kuungana kwa maslahi mapana ya Kitaifa kuliko kuweka mkazo katika Imani za vyama vyetu pekee.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ni muhimu kulileta Taifa pamoja
BAK Mwabukusi.
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri.Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29.
Kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea Mauwaji ya Oktoba 29/2025.
Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi,kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani ,umoja,utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia
Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita Uonevu,ubaguzi,hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka.
Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi,Jeshi,Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvutuga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa.
Tusipo ziba Ufa tutajenga Ukuta,Mwanzo wa ngoma ni lele , na Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.Hala hala kidole na Jicho.
BAK Mwabukusi.
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation on Recent Events in Tanzania.
BREAKING: The United States is reviewing its relationship with Tanzania after the government's "ongoing repression" and "disturbing violence against civilians," State Department announces
European MPs have voted to block funding to Tanzania and to consider sanctions against powerful people behind human rights violations.
Our latest report on CNN keeps the international spotlight on Tanzania
CROCODILE TEARS OF AN ILLEGITIMATE GOVERNMENT
For months the Glory of Christ churches were closed by @SuluhuSamia after its Bishop Gwajima criticized abductions and extrajudicial killings! Gwajima is on the run, hunted like an animal for simply saying “abductions are unacceptable”
He never relented but now the illegitimate prime minister Mwigulu has announced that the illegal suspension has been lifted
Well too little too late!
Yaani ukisikia kujitekenya na kucheka ndo hii sasa inayofanywa na serikali haramu! Wameshaambiwa na Gwajima wafunge milele hakuna kurudi nyuma! Na hivi mmemwaga damu! Mna laana kubwa sana nyie magaidi!
#TanzaniaMassacre
#D9
#NoJusticeNoPeace
#SamiaMustGo
This report underscores the disturbing actions by the Tanzanian Government to suppress protestors. Evidence of mass graves show an unacceptable attempt to cover-up gross violations of human rights.
There must be an independent investigation into these tragic acts immediately.
Alafu kuna mtu anaweza kuzungumzia jambo kubwa kama hili kwa mzaha na lugha ya kawaida.
Ndugu zetu wengi hivi wameuwawa bila sababu!!!
Hii haitakubalika.
⛔️ Viewer discretion is advised!
🚨‼️MORTUARY OF MWANANYAMALA HOSPITAL WAS FILLED WITH DEAD BODIES ‼️
One staff managed to save evidence of the massacre - the heap of bodies that the police @tanpol covered up by “disposing” of these bodies and forcing staff to delete
@ymahmoudali@_AfricanUnion your silence on #TanzaniaMassacre is deafening
We need IMMEDIATELY an independent international inquiry! The authorities in #Tanzania are complicit!
@UNHumanRights@volker_turk@antonioguterres@UN@IntlCrimCourt@hrw@HRF@SenateForeign@AmnestyEARO
MAUAJI YA SAMIA
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Dear @elonmusk more than 60 millions in Tanzania have been offline for over 48hrs due to an internet shutdown.
Hospitals, banking systems, education platforms & emergency communication are disrupted.
Humanity first — Tanzanians are on 🆘 . Please activate Starlink assistance to save lives & livelihoods 🇹🇿🙏
We urgently need @Starlink access to stay connected & safe. Please help 🇹🇿🙏
#KeepTanzaniaOnline
Haka kajomba kanapenda sana kutumia MADHABAHU kama sehemu yake ya SANAA.
CATHOLIC walipopinga hawa watu kusimama madhabahuni walijua kuna takataka kama hizi. Kila siku jitu linaleta SCRIPT mpya.
LEO SAA 3 USIKU NDUGU POLEPOLE ATAONGEA NA WATANZANIA.
Sikiliza kwa makini mambo ambayo ataenda kuyazungumzia. Hakika hii sio ya kukosa.
Jana Kikwete alimjibu Polepole kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni. Leo polepole atajibu hoja zake
USIPANGE KUKOSA
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎