Wakati tunakaa Simike na maza bana siku nyingi tulikua tunapiga Deshi(hatuli) afu maza anasema tupige goti tuombe na tukitoka tuSmile kama ndani tumekula.
Niliapa siku nikipata chochote kitu Mimi nitakula NYAMA kila siku.
Yaani imagine kula nyama tu kwangu ilikua inamaanisha KUTOBOA๐คฃ๐ซต๐พ
@PresenterNoah Mimi ningekua tajiri na bahati nzuri wote wapo na mikataba mizuri ningefumba macho wasingetoka
Mana walicho fanya ni upuuzi nisingefanya biashara na mtu
Pale kijijini kuna siku mchumba wa kaka alistukiza kuja nyumbani Tulikua Tunakula Dona na Maji ya magadi baba alivyomuona akazuga ananawa mikono kwenye bakuli ya mboga zake.
I ainโt gonna lie, I somewhat agree. My mother is beautiful, but in a different way, you know? I donโt think sheโs beautiful in the sense of physical attractiveness.
Sheโs definitely not more attractive than the women Iโve dated....that would be crazy.