Jana nilikuwa dondaa so fare ilikuwa 150 kuketi kusimama 100 juu ya mvua. Mimi huyo nikaanza kulipisha then kufikia bois fulani akasema aliskia fare ni 100. Dem alikuwa amesimama akasema anaeza lipia kuketi then bois asimame.
Nililenga hiyo risto to save him from embarrassment.
Niko undisclosed location Emba tuna watch game ya Harambee. Key issues being discussed including ma defender imbo hawaezi clear ball. Also vile bei ya koti ya mkuu inatosha kupanda nyasi mzuri hapo Nyayo. Ineza kua ukweli lakini pia labda zime nice.
So bukayo saka’s girlfriend called of their wedding due to prenup issues.
She doesn’t want to sign a prenup and she thinks a nigga with Nigerian blood will bow? 😭😂💔💔💔