@EduTalkTz Dunia haiko sawa,mnyonge Uhai wake Ni Mali ya MTU mwingine.
Wanaharakati wanufaika na Vifo vya Maskini kufix agenda zao na Serikali inatumia Maskini kufix agenda zao. USA mtu anakula shaba bila kurusha hata jiwe.
@EsirEid Ubaya Ni wanaharakati wanakataa kwamba wapo kwenye ajira na ukweli Ni kuwa MO29 ilichangiwa na wanaharakati kuwapa matumaini hewa waathirika, eti tokeni JWTZ wapo upande wenu na kikubwa Dini zimetumika kuwaangamiza waanganwa MO29.
@NuhuFarouq39506@MsigwaPeter Issue ya Buyobe imenipa funzo la ku digest Taarifa hizi, mwibe wenye kuweza kumvua mtu nguo Naamini ni mkunjo, kwa miba ya jamii hii utoke bila kuchanwachanwa Ahaaaa! Sio kweli.
Other wise naamini Ni kuzima impact ya ujio wa Rio. Kuwatisha Famous wengine watakao alikwa kukubali.
@mujokolobuba@HakiBalozi255@godbless_lema Kwa hiyo Lissu anaona kwa manufaaa yake aende Mezani Ila Chadema wanaona kwa manufaa ya chama asiingie kwenye maridhia no?
@Thommunkondya Sio Wamagharibi Bali hata kwenye Dini kumevamiwa, Mfano Ni ktk Uislam hivi Sasa Wahabi atampamba SaudiArabia, Mshia atampamba MuIran, MuIbadhi atampamba MuOman ukifuatilia sababu Ni hii misaada inawafanya Watu wanakuwa wafuasi wa Nchi flani.
@MkulimaKante Wenye Watu kupuuzaa kutumia X simkwa sababu ya VPN Ila wengi wameamua kujiweka pembeni kutokana na wadau wa X kulazimisha kuwa mwanaharakati na Tena uwe mkumbo wa Maria&Mange na magenge Yao au uwe Chadema ya LISSU.
Watu wengi wamebaki kuwa domant, wapo Kama hawapo.
@depedrodeniss Sijaamini, binafsi nilipoona vilio vimeanza kwa pamoja kama kuitikia Maombi ''Aaaaaaamiiiin'' Ni kasema haiwezekani binadamu kuanza kulia kwa Pamoja kwa mazingira kkama Yale ya mahakama.
@Thommunkondya Nilipoona Lissu anasema nimenyimwa รงhakula, na kina Mama wakaanza kulia kwa Pamoja nikajua ni maigizo kutaka huruma ya kijamii.
Haiwezekani kilio kianze kwa pร moja kama kupitia maombi ''Aaaamiiiiiiin''. Chadema wapunguze Maigizo, watu wataamini yanayosemwa.
@JohnNgutiCDM Ukimuangalia Hilda, unaona Phycological hayupo sawa, nimeitizama ime Nipa wasiwasi inawezekana huyu Bint hivi Sasa huko aliko kawa mateka.