@mrishogambo Wapiga kura tunakula vumbi mwanzo mwisho.Magari yanaharika wanchi wanateseka usafiri hakuna kutokana ubovu wa barabara yaa Safina- Mrisho Gambo sec.(Olaasite) hizi mambo za #New profile pic ungezifanya utoto.Saa hizi tumekutuma ukatusemee.
KARMA siku hizi inasafiri kwa Private Jet.Tundu Lissu alipaswa kuwa amekufa,Magufuli hayupo. Makonda anakimbia kupokea summons ya Mahakama.Ndugai alitaka Magufuli atawale milele,leo hatujui yuko wapi. Na aliyemtishia Nape bastola yuko mahabusu kwa kesi ya mauaji.
Kutoka 20:3
โUsiwe na miungu mingine ila mimi. โUsijifanyie sanamu ya miungu wa uongo,au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia.Usiisujudie wala kuitumikia;kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu,Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu.
"Mungu atawachapa soon"