5 Best Documentary Suggestions To Watch This Weekend.
1. Making Reconciliation Work: From Hate To Peace | DW Documentary
2. Kim's Daughter: Propaganda & the Next Generation | DW Documentary
3. Inside the Prison of No Return: Syria's Prison of Secrets | Witness Documentary Al Jazeera
4. Adnan Khashoggi- Inside Khashoggi's empire: From The World's Richest Man to Bankruptcy | Witness
5. The Great Fracture: The Origins of Trump America | Best Documentary
Kamanda @HecheJohn , with due respect nashauri don’t pick this bait ya maswala ya kizushi mtandaoni.
Kuibeba hoja hii ni kuwavunja moyo watanzania ambao wangependa kufika kesho mahakamani kuona kama muhimili wa mahakama utajisafisha au kujinasua na maneno aliyoshitakiwa nayo Lissu aliposema “Mahakamani hakuendeki”
Pia wewe kuibeba hoja hii, hata kama ni kweli, inawarahisishia wanaopanga hivi kujua kwamba dhamira yao imejulikana na imepokelewa kwa mikono miwili
I will never understand people who are politically neutral aisee, hiyo ni simply refusing to stand up for what matters. NI UPUMBAVU NA UOGA WA KIJINGA UMEWAJAA.
Usinijie mimi ukaniambia you’re politically neutral ntakuzaba kofi.
Adulting is so humbling. You can go a whole week without spending money, feeling proud of your financial discipline, only to spend everything you saved in ONE DAY.🙌🏼😂