Halafu hii ishu ya mwaka wa Hip-Hop nayo tuachane nayo. Hip-Hop kila mwaka ipo na itaendelea kuwepo.
Kinachotokea Bongo ni kwamba watu wameanza kuchoka wanayosikia kila siku. Pia Hip-Hop ni mbegu ilizikwa na kuchukuliwa poa kwa muda mrefu sasa inachipuka kilazima.
HAIZUILIKI.
@DullahTheking2 Unju Ana Gubu na Mzee Mbuzi la wazi Tangu Farid ampe Kanda Mwanetu wa sauzi wakati Fareed alifanya for Love kama kumsogezea Mwana kua Hyu jamaa kamsikilize pia mkali Toka Tz!