#NipasheHabari Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amehoji kwanini boksi linalokaa katikati ya siti ya dereva na abiria kwenye gari alimoshambuliwa Lissu, halikuguswa na risasi?
#NipasheMwangaWaJamii
Nimemsikiliza Waziri Kange Lugola kwa makini sana,kimsingi ameongeza mashaka zaidi kuliko kupunguza juu ya shambulio la Mh Lissu.Kauli zake zitajibiwa mapema