Nolla Technologies is a Tanzania based IT company with the sole aim of digitizing the world by developing tech-based solutions to challenges in our communities
@HusseinBashe@nollatechstz@bi_shamba_app Kwa kupitia aplikesheni hii pia mkulima anaweza kupata huduma za ushauri wa kitaalamu ambayo angepata kutoka kwa maafisa ugani. Hivyo itasaidia mno wakulima ili kuongeza uzalishaji wenye tija.
@HusseinBashe Mheshimiwa nafikiri serikali ingeongeza jitihada za makusudi katika utumizi wa Tehama katika uzalishaji. Ipo aplikesheni iliyofanywa na vijana wa chuo cha MUST na @nollatechstz ya @bi_shamba_app inayowasaidia wakulima kugundua magonjwa ya mimea kupitia simu zao.
Uongozi wa Nolla Technologies unaunga mkono juhudi za serikali katika kuhamasisha sensa ya watu na makazi 2022. Nihesabiwe mimi, wewe na yeye kwa maendeleo ya nchi yetu.
#sensabika2022
Nyote mnakaribishwa katika mabanda yetu kunavingi vya kujifunza kuhusu technology katika kilimo karibuni sana
Tupo sehemu mbili
๐ Banda la MUST
๐ Banda la Tahliso