Bro to Bro!!
Hii itakusaidia sana kuilinda afya yako ya akili na pia kukuepusha na unnecessary changamoto!!
Mimi huwa naitumia sana hii formula.
Unapokutana na Pisi kali, Ipe kasoro kwenye imagination zako, mpe dosari za viungo vyake….nitakupa mfano.
Ukimuona binti mrembo anza kumuwazia kuwa ana jicho moja lingine limetoboka, au muimagine ana komwe refuuu na kisogo kirefu!!
Mkate kiuno kuja chini mu-imagine ana kiwiliwili tu!!
Hakikisha unampa kasoro yoyote ya viungo, its very easy, utaishi bila stress na itakusaidia sana
"Jitahidi sana kuwa mvumilivu wakati wa hasira ..maana unaweza amua jambo ambalo hautaweza kulitimiza"
. . . .
Uvumilivu na ukimya ni tiba asili ya kiburi"
"Hatuwezi kukataakuwa yanga sio bora...Amecheza vizuri amekuwa makini kipindi cha pili amehitaji zaidi ushindi ...Hongereni sana watani wetu yanga"
- naandika✍🏿