Yajao.....!!!!!! yanafurahisha Zaid.
Ni vile hatupat mrejesho ya yaliyojiri ila wapo wana wanapiga cm za manzi zao na hazipokelew na wameshatuma sms Kama 10 hivi za kuomba msamahaa na hakuna iliyojibiwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@Msumari9 Kutongoza ni project endelevu hivo sis hatusus, Bali unakuta ktk moja na mbili nimeopoa @kisu_kikal kuliko @msumari9 hivo lazima niwekezee zaid kwa @kisu.
Hapa pia bado project inaendeoea tena nikiopoa @Sime au @Jambia mwendo ni ule ule.