@joshuasultanPT Mimi mgonjwa ashawahi kusema “sina” halafu nikaulizwa na chief ward round nilivosema tu kama alivoniambia akaguna kwanza😂 she was a nurse,, halafu akatoa na hizo dawa anazotumia,, halafu chief nae hata maelezo yangu akagoma kabisa kupokea
Millennials shikamooni wakubwa
Mimi sikuwa nawakumbushia vituko vyenu.
Karibuni suti kali, complete unapata kila kitu kwa 210k✅
☎️0746712192
Tupo Msimbazi B jengo la DDC karibu na david sportswear.
Delivery zipo lakini tunakutana open space😂😂(utani)