@Adventure_36 Kuna hadithi au simulizi moja niliisoma mahali naifananisha na hii
Kwamba dereva wa Lori alikwepa watoto wawili waliokuwa wanacheza barabarani akaenda kuwagonga wawili waliokuwa kando ya barabara na kujisifia kuwa ameua wawili kaacha watatu.
Sasa hapo chekecha
@FKihamu Yanga mwenyewe amewahi kufanya rotation kwenye kikosi chake dhidi ya IHEFU ingawaje wachezaji wake walikuwepo na akagongwa zaidi watu walifanya sherehe,sasa leo hii Kuna mbumbumbu zianaongea pumba tuu, brother always nasoma kazi zako hongera sana