@Sativa255 Umeishia darassa gani bro usipost vitu public ambavo hujui advantage na disadvantage yake usiangalie tu jina dangote ata angewekeza usingefaidika kwa lolote tuliza mshono wa taya huo
Ofisi za NIDA ni tatizo kubwa sana ambali serikali msipo liangalia kwa umakini mnachafuliwa na hiki kitengo ambacho watumishi wake wanajiona sio wa kawaida kama binadamu wengine sisi wanajikuta wao ni maalumu kuliko yeyote wanainchi tunaangaishwa sana na kudhalauriwa sana.
@TanzaniaLeaks Kwahiyo unatakaje sasa,watanzania wafanyaje,waingie tena barabarani kuwapigania na kuwatengenezea njia wanasiasa wa chadema na act au unawafundisha vijana kuwa mtanzania ni ngumu kujenga hivo vitu mpaka awe mwana siasa acha chuki
@MariaSTsehai Kwahiyo unajaribu kusema tujilegeze kukopa ndio maendeleo we kadada mbona unazibaka akili zetu sisi wengine tunafurahaa watunyine ili tuzalishe na kutumia vya kwetu,mpaka hapa nimeamini wewe ni mnufaika namba moja wa vurugu za October 29.Embu tuachie Tanzania yetu
@Youssefyamani@MickyJnr__ Civilised? are you civilised leave us Africans with our culture and norms we are the best and not GAYS,to be gay is a means of civilised according to you western culture shame on you!
@MickyJnr__ Hapo raia wa TANZANIA watakataa ligi yao kuwa nafasi ya sita na kusema haistahiri kuwa na ubora huo maana huwa hawapendi vyakwao wanawaza kupaisha vya wengine
@NzowaGodat@TanzaniaLeaks Mm sijali hayo matusi ila kuwapigia wazungi magoti ndio watusaidie njmegoma ata kama kuna kufa kupona nyie kawatafuteni lakini pia muwakumbushe kuwa kwa mwaka ni raia wengi sana marekani na uingereza wanauwawa kwa mwaka ata zaidi ya hilo tukio unalosema ulishawafuatilia ?
@kitalukaj@TanzaniaLeaks Uuaji sio kitu cha kushabikia lakini fika hatua kujua ni jinsi gani tunalikabili watu wangapi kongo huuwawa na ICC ipo tu,lakini mpaka sasa vifo vinaendelea unafikiria ni bahati mbaya endeleeni kusema ICC
@zepphimobby78@TanzaniaLeaks Sishabikii ujinga wa kupoteza watu wala ujinga wa kuteka watu napinga hilo ila kwa upande wako ICC sio mjomba wa kuipigania haki yako zaidi atakuchonganisha ili aondoke na vyakwako fikiria lile tukio la 29 Oct lilitokea kwa bahati mbaya kwani amka jenga inchi yako na kuharib
@officiallvibes@TanzaniaLeaks@norbs Najua utatukana lakinj mm sio shabiki wa mauaji ila usishabikie ICC kuingilia swala la inchi yetu kwa sababu wao sio wema kwetu wala hawana vina saba na wewe kwamba wanauchungu na wewe tengenezeni inchi yenu wenyewe
@chrispineacade7@TanzaniaLeaks Sisaport kuuliwa kwa watu na sio kuishabikia ICC kwamba ndio mkombozi wangu,ndugu wangapi huuliwa marekani na uingereza na hatuoni ICC ikiiongelea na kuishaki serikali ya marekani kwa kutoweza Linda uhai wa wananchi wake
@Sativa255 Kwan bajeti ya kuninulia gari la wazir si inajulikana kama kaongezea si n zake mantiki yako ni nini hapo bro acheni kupotosha watu ninyi maana mnatulisha matango pori mpaka ndugu zetu wakapoteza maisha na wao ni kuwa wakuwa wanafikiria matakon kuliko brain kama wewe
@MariaSTsehai Kwahiyo pigania haki kwa kuwaeliminate watanzania kuwa nini ni nini na kipi ni kipi na sio kuwalazimisha watu wakinukishe alafu tuinge ufala wa Kenya sisi tutue aisee mbona Kenya ufisadi nje nje kama unamapenzi nao wapiganie wawe pouwa na maisha ya watu wa kipato cha chini nao
@MariaSTsehai Wewe mama tutored upuuzi huo tuwaige wakenya sisi tuombe msamahaa we waige maana inaonesha maslai binafsi yanawasumbua ila sister tz ndio nyumbani na ndio utakako rudi Huna inchi ingine zaidi ya hii hao jamaa wakikutumia wee wakiona Huna manufaa nao u ajua nn hufaya
@Sativa255 Endelea na hao haki za binadamu na kidini kwan madulo hakukuwa na haki za binadamu ,siku moja wao wakikufira kama ukivyofanywa ndio akili yako itakukaa vywema kuwa natakiwa kuwaje sijui mnatumiaga akili za wapi ila sik kosa lako ni kaform four leaver hakuna unachojua kutafakari
@Sativa255 Kwan wakenya ni akina nani acheni kutukuza watu wasio na kwao,sio ajabu mtu kushindwa kuongea kiingereza wachina kibao huja hapa na hawajui kiingereza huwa wakenya wanakuwaga wapi kuwacheka acheni mada za kitoto na fikra finyu mnatawaliwa na lugha ngen kujiona fajari