@olesalekwa1@KennedyMmari Karibu sana Gwargwe nitakuwa jirani yako ila walio karibu hawaioni Bahari walio mbali Kila Weeknd wanajazana ufukweni wakila bata
@bwaya Sasa Bwaya we kwani unatakaje YAAANI Kila nikibwaya huku we una Bwaya kule m naenda zangu kijijini kuchunga mbili Usije kunifuata huko maana kule Kunaaisha halisi