@Mwabuk2Boniface@MariaSTsehai Unakaaje meza ya maridhiano wakati rafiki, ndugu zetu, wapendwa wetu wameokotwa na kupotezwa kizembe hivi na hawa wahuni. Waturudishie ndugu zetu aidha wamekufa ama wakiwa hai.
Wanatokea wajinga flani wanaleta mzaha kwenye maisha ya watu.
HAKI ZA BINADAMU ZIHESHIMIWE😭😭
@Baradhuli2 Heche na Lissu wote ni maarufu. Heche hajamshtaki Lissu, TAL kashtakiwa na JAMHURI, na jamhuri ni sisi wananchi, na JAMHURI tunasema #FREETUNDULISSU
@royalmediatz Mnaziagiza na kuzitumia mahakama kuumiza viongozi wa upinzani, mnaingilia uhuru wa mahakama.
Sisi JAMHURI hatutaki hii KESI, haina maslahi kwa umma wala kwa chama chetu pendwa chama cha mapinduzi.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA tunakazi ya kuhakikisha Tundu Lissu anatoka jela na amatoka haraka na salama.
Tunakazi ya kufanya kama walioifanya South Africa kwa Nelson Mandela, Václav Havel nk.
Tusilidhike Lissu kukaa ndani
@godbless_lema@godbless_lema@BrendaRupia@HecheJohn UMMA unawafuatilia na kuwaelewa vizuri sana. Unachotaka umma wa watanzania ni UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI. UMMA unataka serikali na mahakama vishinikizwe kumuachilia TAL. Maandamano yapo kikatiba, tangazeni tarehe ya maandano ya AMANI😭😭
@godbless_lema Onyesheni uongozi. Bila kuipa presha serikali kuondoa shauri la TAL mahakamani, TAL atafia JELA.
UMMA upo tayari, tangazeni maandamano ya AMANI kuishinikiza serikali na mahakama KUFUTA shauri la MCHONGO LA UHAINI dhidi ya mwenyekiti. Ndicho UMMA unataka.😭😭