@Raneemtexas@tophz_ But the wife is also hiding from her man, should have shared some info, even saying you are not feeling well is a problem? Well , maybe they don't trust each other.i would be glad if my wife tells me she's not okay.
@HildaNewton21 Huyo CDF ni muoga wa uuuiiiii. Aliona wananchi wakipigwa risasi na akaruhusu uapishaji wa muuaji SUGU jeshini. Hivyo yeye hiyo barua hatasoma amalize maana ukweli unachoma nafsi.
@HildaNewton21 Eti uchape Nani? Ndio unaamini kuua watoto wa watu. Usilete hiyo ujinga na ushamba Kenya. Hapa tuna katiba, Ruto hakukuambia atalipa fidia ya aliowaua Gen Z? Wewe ngoja ICC wakuulize Una Raha gani kama watoto wa watu uliwazika kaburi la sahau. Hatutambui urais Haram na damu juu.
@ivymuthe You think so? Mamito has just smoked out the lies you get from that thing you call the mighty prophet. That's a con, a cheat, a liar by all means and very blasphemous.