Arsenal imekuwa timu ya kwanza katika historia ya ligi kuu ya Uingereza kucheza msimu mzima bila kupewa kadi nyekundu wala kucheza madhambi yaliyosababisha timu pinzani ipewe penalty dhidi yao. Nidhamu imekuwa sehemu ya nguzo kuu ya ubingwa wa Arsenal.
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Muda huu Papa Leo XIV kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani yupo ndani ya Msikiti wa Sultan Ahmed (Msikiti wa Blue) uliopo Istanbul Uturuki. Msikiti huu ulijengwa kati ya mwaka 1609 na 1616. Papa yupo na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini Uturuki na amesali akiwa hapo Msikitini.
Mkuu wa kikosi Ruvu JKT Kanali Peter Mnyani anawakaribisha wananchi kutembelea Kitalu cha Wanamapori cha (RUVUJKT Wildlife) ili kufurahia mandhari ya Utalii na kuona wanayama pori walio wapole.
Youtube ni SUMAJKT TV.
Tuna kundi kubwa limemezwa na Propaganda za mataifa ya nje kiasi kwamba wameingiwa na hofu na wanajiona dhaifu. Jeshi letu (TPDF) lipo Imara na lina nguvu kubwa mnoo. Usichukulie poa suala la wewe kulala kila siku bila kusikia mlio wa Risasi wala bomu tambua kuna watu wapo kazini
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha atazungumza na Wanafunzi wote Siku ya Jumatano ya Tarehe 30 Oktoba 2024 kuanzia saa 6 mchana katika Ukumbi wa Samora - Kampasi Kuu Morogoro
Nyote Mnakaribishwa
#tujifunzekwamaendeleoyawatu