@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia Kila mtu ni mwananchi wa nchi hii, hakuna aliye mwananchi zaidi ya mwingine. Tukisikilizana tutaweza kujikwamua kutoka kwenye mkwamo huu. Busara itumike maana hata walioko kwenye mihimili mitatu bado ni wananchi kama wengine.
@godbless_lema Usisahau kuwa walio kimya ni wengi na wana mchango mkubwa kwa kila hatua ya chama kuliko wasaliti. NB: Ni bora kushindwa vita ukiwa na maaskari waaminifu, kuliko kushinda vita ukiwa na wasaliti! Tafakari