This is one of my favorite videos of all time. Every African should see this at least once in their lifetime.
President Paul Kagame did put an arrogant European journalist in her place, she thought all African presidents were incompetent.
This video should be in a museum.
Jana Bongo Zozo alikutana na @davidmcallister ambe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa @Europarl_EN walizungunza kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo issue ya Mhe. Lissu pamoja na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu ambao Nduli Idd Amin Mama alifanya Oktoba 29.
Tunakaba kila kona
ARUSHA: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameyasema hayo Mei 21, 2026, kwenye Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Chama cha Waandishi Waendesha Ofisi (TAPSEA).
Upi mtazamo wako?
Fuatilia zaidi https://t.co/K1XIfDBdRO
#JamiiForums#Uwajibikaji#HumanRights
The @StateDept is designating Tanzanian Police Force Senior Assistant Commissioner Faustine Jackson Mafwele for involvement in gross violations of human rights.
Hata Mwaka haujaisha tangu tumetoka kwenye machafuko na mauwaji ya October, hili tukio la kutekwa kwa Djumbe linatokea - kwanini lakini?
Nchi yetu ina tatizo kubwa kuliko hata tunavyofikiria 😞
"We strongly regret Tanzanian authorities’ continued request to postpone the visit by @EP_HumanRights - an approach that in practice amounts to a refusal.
Civil society groups & human rights defenders...can count on our continued and unwavering support."
https://t.co/k79sANPy59
What defines the relationship between Rwanda and Botswana, is not only friendship but also a shared sense of purpose.”
President Kagame on Rwanda-Botswana relations.
President Duma Boko commends Rwanda’s visa exemption policy for Africans and vows to extend the same treatment to the people of Rwanda. The Africa We Want 🤌🏿
OMG! Machozi yanenitoka. Machozi yamenitoka kuona vifo vya Watanzania vinapigwa kila kona ili haki ipatikane….
Bunge la Marekani linapambana ili kuonyesha nchi zingine za Africa, America ina react vipi pale.
Kinachonipa moyo zaidi kwenye hili ni kwamba hiyo bill inayokuja juu ya Tanzania ni Bipartisan, meaning vyama vyote viwili vimekubaliana, sijui mnaelewa ugumu wa vyama vya siasa Marekani kukubaliana kwenye issue?
Watanzania, ndugu zenu walio huku wanapambana. Kama jinsi diaspora wa Iran waliopo hapa Marekani wanavyopambana ndio jinsi na Watanzania walio Marekani wanapambana. Na wanao wapambana ni wengine hawana majina wala platform. Yani huwezi hata kuwadhani ila ndio wanashinda bunge la Marekani na White House kupambana. I wish ningeweza kuwa tag ila sina ruhusa zao.
Watanzania kila siku nawaambia tutashinda, cha msingi ni tusife moyo sababu ya tunaona ukatili wa huyo muuaji unazidi na kwamba ndio kwanza anatamba. Her day is coming.
Watanzania piga kifua sema TUTASHINDA!!! SEMA HAKI ITAPATIKANA!!!!!
Thank you so much @SFRCdems@SenatorShaheen@SenateForeign
Kuweka mkazo katika kutengeneza fursa za ajira, hasa kupitia sekta binafsi, ili vijana waweze kujitegemea na kuchangia maendeleo ya taifa.
Maendeleo ya kweli yanatokana na haki, usawa na ushirikiano kati ya serikali na wananchi wake.
Asanteni.
Ushauri kwa Serikali yetu:
Ni muhimu kutambua kuwa vijana si tatizo—bali ni matokeo ya mazingira wanayoishi. Suluhisho si kupambana nao, bali kusikiliza sauti zao na kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo kila siku.
Tunaomba:
Uchaguzi uwe huru, wa haki na uwazi, ili wananchi waweze kuchagua viongozi wanaowataka kwa uhuru.
Kupunguza mzigo wa kodi unaowaumiza wananchi na wafanyabiashara.
JESUS CHRIST said :
“Before Abraham was; I AM.”
John 8:58
“I AM the First and the Last”
Rev. 1:17-18
JESUS is the Messiah; “I AM he”
John 4:25-26
“I AM with you always”
Matt. 28:20
“I AM the Bread of Life”
John 6:35
“I AM the Light of the world”
John 8:12
I AM the Son of Man; “I AM he”
John 8:28
“I AM the Gate/Door”
John 10:9
“I AM the Good Shepherd”
John 10:11
“I AM the Resurrection and the
Life” John 11:25
“I AM the Way”
John 14:6
I AM the Truth”
John 14:6
“I AM the Vine”
John 15:5
I AM the same yesterday, today and forever
Hebrews 13:8