@RahmaMwita sasa risiti ya zitto!! wee umeipataje
au zitto ndio mwenye shida ameiweka kwenye ofisi ya chama iwe mali ya umma??
au yeye alofanya amewaambia mumtangaze yeye na wema wake?
Au kaweka risiti kwenye group la wasap la chama kiwaonesha michango yake kwa sativa chama kizima
@fumbokhanJr nilikuwa naiweza sana biologia na hisabati ila matokeo ya mitihani yakitoka history civics na chemistry napata maksi za juu zaidi kuliko masomo niyapendayo na nilokuwa nikiona naweza najitajidi mazoezini
@YourFrenchFry 1. tupunguza gap ya unyonge kati ya wenye kipato na wasio nacho.
2. kupendeza ni perspective ya mtu, yupo mtoto atakuja na kimini chenye mfanano na sare atasema ni sare, mwingine atajichubua, wanja, poda n.k
3. umri wa watoto kisaikolojia ni wa kuiga iga tunajenga mfanano
@jokateM VOA wanapaswa kupongezwa maana wametimiza haki ya kitoa taarifa ninyi sisiemu na serikali hamkuona haja ya kutuambia na kutujuza masherti ya mkopo huu