๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ : Huyu jamaa anaitwa NABII TRUM ni kijana wa Gwajima, yuko zake Mara, baada ya kuongea mambo ya kikundi cha UASI, Polisi walimfuata hadi kwao ila Heche kwa kushirikiana na Askofu Gwajima, walimtorosha akaenda Kenya.
@tanpol Mkamateni Heche na Gwajima
Siku ya juzi January 6, 2026 PADRI CHARLES KITIMA alikutana na JOHN WEGESA HECHE na walifanya mazungumzo yaliyoanza saa 5:05 asubuhi na kumalizika saa 7:17 mchana.
Katika kikao hicho, JOHN HECHE alimpa mrejesho wa mipango ya CHADEMA kwa mwaka 2026, Kubwa zaidi likiwa maombi ya fedha yaliyowasilishwa na JOHN MNYIKA na AMANI GOLUGWA kwa lengo la kutekeleza mikakati yao ya mwaka huu.
HECHE amemuhakikishia PADRI KITIMA kuwa mpango wao wa kununua misiba ya wana TARIME pamoja na maandalizi ya maandamano ya wakatoliki inatekelezwa kwa ufasaha na kwamba kuingia kwa DKT. SLAA kwenye Kamati yao ya ushauri ndani ya CHADEMA kama kivuli cha Baraza la Maaskofu kutazaa matokeo chanya hasa kwa vile DKT. SLAA ana uwezo mkubwa wa kushawishi kwa maoni ya JOHN HECHE.
Pia HECHE alimshauri KITIMA watumie mvutano uliopo baina ya BAKWATA na SHURA YA MAIMAMU kujipenyeza ndani ya Dini ya Uislamu hasa ikiwa atakuwa tayari kutoa kiasi cha fedha ambacho SHEIKH ISSA PONDA amekiomba kwa ajili ya kutekeleza kazi zake. hata hivyo hakikuweza kubainishwa ni kiasi gani kimeombwa na SHEIKH PONDA.
katika kuonyesha kuwa ameridhika na taarifa aliyoipata kutoka kwa JOHN HECHE, Jana hiyo hiyo, PADRI KITIMA alitoa Kiasi Kikubwa cha fedha ambacho hata hivyo hakikubainika ni kiasi gani lakini inakadiriwa kuwa ni zaidi ya milioni 100 za kitanzania.
Aidha, PADRI KITIMA amemuhakikishia JOHN HECHE kuwa yupo serious na mipango yote hiyo na amemtaka aisimamie kwa umakini mkubwa ili isije kufeli wakaumbuka.
Baada ya hapo wakafunga kikao chao, msaidizi wa PADRI KITIMA akalipa Bili, kisha HECHE akatangulia kuelekea katika gari lake, na baadae PADRI KITIMA na msaidizi wake wakaondoka pia.
Maswali ya kujiuliza ni haya?
1. Kwanini PADRI KITIMA amekuwa akikutana na Viongozi wa CHADEMA kwa siri na kuwapatia Fedha. Je Fedha hizo zinatoka katika chanzo kipi cha Mapato?
2. Huu mikakati inayopangwa kutekelezwa ina malengo gani juu ya usalama wa nchi yetu?
3. Ni kikao kipi cha Kanisa kilikaa na kupitisha mkakati huu wa PADRI KITIMA kumkabidhi Fedha JOHN HECHE tena kikiwa ni kiasi kikubwa cha fedha?
Taarifa hii inanisikitisha sana hasa baada ya kuona mtu mmoja anayeaminika na Kanisa anatoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo bila shaka zinaweza kuwa ni sadaka zetu waumini zinakwenda kutumika kufanyia Uhaini, utapeli wa kisiasa na kutafuta madaraka kwa manufaa binafsi!. Mimi nadhani ifike mahali kama Baraza la Maaskofu linataka kuwa chama cha siasa, lijisajili kwa sheria zetu za nchi.
NB: Naomba niweke sawa kuwa taarifa hii haina lengo la kumchafua mtu fulani. Ila ina lengo la kurekebisha mwenendo wa kanisa letu.
kwa sababu kama muumini ninapata maumivu makali, yanayonifanya nijiulize kwanini Kanisa litumike kwa maslahi ya watu wachache kama PADRI KITIMA?
TAFAKARI YETU๐
Ukiona mtu, hususani hawa wanaojiita โviongozi wa upinzaniโ na wanaharakati, wanashangalia US kuingia Venezuela na kumteka Rais wao hii ni uthibitisho kwamba wanahrakati hawa ni vibaraka wa mabeberu.
Watu hawa siku wakija madaraka ya kuongoza nchi hii watauza rasilimali zetu zote kwa kuwa tayari wanawatumikia mabeberu.! Jiulize NED na Open Society wanampa Panya Buku Maria hela za bure?
Kaeni mkijua kuwa hawa wanaharakati na viongozi wa upinzani tayari hivi sasa wanajiuza kwa mabeberu ili siku moja waje watuuze wote na haya ndiyo walikuwa wanafanya Panya Buku na kundi lake la wanaharakati wa kukodishwa.Takataka kabisa hizi.
Nadhani sasa mmeelewa!..
#KigogoMediaUpdates
Religion survives politics and those who forget this usually take faith down with them for a while.
Pope cautions that political religion breeds conflict. TEC is being tested by that very warning and it is the moment to realign.
@Pontifex
Rome says faith should restrain power. When clergy start chasing influence, restraint has already failed.
The Pope warns that faith used for conflict loses its soul. TEC risks proving him right in real time.
History is watching.
@Pontifex
Pope Leo @Pontifex condemns political exploitation of religion.
TECโs silence on that warning is loud. Rome spoke. Why the hesitation here.
The Vatican draws a clear line between moral guidance and political engineering. That line https://t.co/rRU770tURB
Waliodhani nguvu ya vijana inaweza kutumiwa kirahisi walikosea kizazi. Vijana wa Tanzania wana ufahamu wa kitaifa na uhalisia wa kiuchumi unaowafanya wakatae vurugu. #WanaharakatiWaaibikaTena
SomeoneTell Ford Foundation
Hii ndio kazi alifanya enzi za ujana wake, alitumia pesa za baba yake vibaya akashindwa hata kueka kitega uchimi kitachomsaidia kwenye maisha yake
Leo anataka kugeuza uhai wa watu iwe ni sehemu ya kuingiza kipato chake, mjinga na mpumbavu pekee ndio anaweza sikililiza maujinga yake
Halafu mwambieni mama yake ni mgonjwa mnoo aje kumuona kabla hajang'ata shuka au ndio na yeye anamtelekeza kama alivyofanya kwa baba yake