@ITexpertTz Kuna pesa tulikosea kutuma ikatokea hali kama hiyo mtu kukatwa madeni... ila tulifanikiwa kurudisha kwa njia hii... Tulipiga 100 tukaombatujue kiasi kilichokatwa(deni)... tukatuma kiasi kilichokata then tukaomba kuludishiwa muamala wa kwanza....ila NIATARI
@gabyconscious@SelcomPesa Yeap... ila kunamuda inakaasawa... mimi leo nimeitumia mida ya saa nne na saa nane ilikuwa powa tuuu... saizi ata app haifunguki
Mfano; “changamoto yangu kubwa ni ipi?”
1)Sina Uthubutu?
2)Nina Uthubutu Lakini Sina Focus?
3)Nina Focus Lakini Nina Ego inanizuia Kujifunza Kwa Wengine?
4.Nina Kiburi?
5. Sina Nidhamu?
Korea Kusini inakuwa nchi ya kwanza kutekeleza mpango wa kuwapatia Wananchi Intaneti bure hata baada ya vifurushi kuisha.
Japo nchi kama Ufilipino, Estonia na Costa Rica tayari zimetambua Intaneti kama haki ya msingi, lakini badala ya kutoa data moja kwa moja kwenye simu, hutoa huduma ya Wi-Fi ya bure katika maeneo ya umma.
Una maoni gani Mdau?
Bofya kushiriki kwenye mjadala https://t.co/AimFKewIVX
#JamiiForums #DigitalRights #HakiZaDigitali