Pamoja na uthabiti huu wa katiba ya JMT na Sheria mbali mbali, bado kuna maafisa rasilimali watu wameamua kuvaa ngozi za ukaburu kuhakikisha wafanyakazi hawaungani ili kupata sauti ya pamoja ya kuda,kulinda na kutetea haki zao. Hili kufanyika karne hii ni aibu kwa Taifa.
Kuna umuhimu wa wadau wa Taaluma ya Rasilimali Watu (HR Proffesionals) hasa wazawa kujitafakari. HR Personel hasa kwenye selta binafsi wamekuwa kikwazo kikuu kwa ustawi wa wafanyakazi. Inakuwaje HR Personel unazuia wafanyakazi kujiunga na chama cha wafanyakazi?
Collaborations are crucial for African countries as a just transition looms. As producers of the resources with little benefit retained in their locality, collective actions are key for Africa to obtain optimal benefits. We are part of PWYP Africa conference in Dakar, Senegal.
Core issues to be addressed;
Freedom of Association & Right to Collective Bargaining,
Effective abolition of Child Labour,
Equality and non- discrimination in respect of employment and occupation,
Occupation Health & Safety
Decent Living Wages and Minimum Wages
Labour concerns on #AfCFTA lies on *unfair competition btn SMEs against large players
*Supportive national policy and physical environment,
*Jobs,workers protection, social security, and union rights cud be hampered
*Quality of jobs
*No labour provision
#CSOsonAfcfta
Thread👉
Lengo kuu la #JukwaaLaUziduaji2022 ni kuleta pamoja wadau wa uziduaji katika ngazi zote ili kujadili kwa kina, kubadilishana uzoefu ili kuendeleza uwazi na uwajibikaji na kushawishi mabadiliko ya sera na sheria katika sekta.
How do we make sure that Tanzania Mining Sector is linked to other Major economic development sector ~ Ms Veronica Zano Oxfam Zimbabwe @policy_F#JukwaaLaUziduaji2022
Mentorship
Chuoni nikiwa CR kuna majamaa walikuwa wananiaga hawapo class kama wiki nawafanyia assignment wakirudi nawapigisha pindi na wananipa hela ya msosi, Kumbe walikuwa na mishe nje ya chuo na hawakutukumbusha kuna maisha baada ya chuo
Immediately after chuo wako kazini
@PaulSIFA@HakiRasilimali It’s time for Africans to discuss the recent discovery of the minerals in Africa that are said to be critical in facilitating the transition to green energy technologies. Let's have a well-defined role of the regional integration bodies (AU, SADC & EAC). #JukwaalaUziduaji2022
@InfoLeat ina furaha kushiriki "Jukwaa la Uziduaji". Imani ya @InfoLeat katika mkutano wa 2022 ni kujadili kwa kina masuala ya mazingira hasa kwa sababu adha za Mabadiliko ya Tabianchi kama zilivyojadiliwa na #COP27 zinaweza zidishwa au punguzwa na machaguo ya wadau wa uziduaji.
Mr. Fred Kabanda (from ANRC, Uganda) on how to manage expectations:
1. It is critical that correct information is sent to communities;
2. The economies of scale is important;
3. #China takes advantage of its market, Africa should do so;
4. Direct employment in extractives is low.
At the #JukwaaLaUziduaji2022 whereas the theme is realising competitiveness and industrialisation for human development in Tanzania
Keenly following closely the energy transition, value chains, technological transfer discussions amongst others for the development of our people.
A Keynote address at #JukwaaLaUziduaji2022 will be given by @MadiniTanzania & @Nishati2017.
This session will be moderated by Prof. @AbelKinyondo and will focus on "Extractive Sector & Society: Building a Just Transition & Securing Lasting Socio-economic Benefits" for Tanzania.