The HakiRasilimali Board Chair, Mr. Donald Kasongi, is pleased to announce the appointment of Mr. Nicholas Lekule as the new Executive Director of HakiRasilimali, effective July 2026.
Mr. Nicholas Lekule brings extensive experience in natural resource governance, public policy, institutional leadership, and advocacy.
His commitment to transparency, accountability, and the sustainable management of natural resources will strengthen HakiRasilimali's mission and impact.
@LekuleNicholas
#HakiRasilimali #AccountabilityandTransparency
Critical minerals are shaping the future of the global energy transition, and Tanzania is at the forefront of this transformation.
The Critical Minerals Research Symposium 2026, organized by HakiRasilimali, provides a platform for research, dialogue, and collaboration to advance responsible critical minerals governance in Tanzania.
📍 Crowne Plaza, Dar es Salaam📅 29–30 July 2026
Stay tuned and follow our social media channels for the latest updates.
#CriticalMineralsResearchSymposium2026 #HakiRasilimali #CriticalMinerals
@JamiiForums Hoja ilikuwa ni nini hasa, maana kaongelea hamasa (ambayo ilianzia kwenye hoja Bunge halina hamsa, ambapo alitaja kuwepo kwa Ado), halafu sijui akapotelea wapi, lakini akaishia kwenye ustawi wa wananchi.......
“…when you look at them (African artistes), their music is not freeing Africa. Your music needs to free Africa.
If I’m all the way in Jamaica and my people fight to free your continent with WORD, SOUND and POWER, and you have the ability now, and all you’re singing is ‘that’? ”-Buju Banton
Waziri kakurupuka. Kasahau kuwa kisheria yeye ni mamlaka ya Rufaa endapo polisi watakataa kutoa ruhusa kuandamana
Sasa mwenye mamlaka ya rufaa akizuia mikutano rufaa itakatwa kwa nani ?
Rule of law is the order and not rule of the jungle @Advocate_Jebra@Mwabuk2Boniface
"Kwa sababu ya taharuki hizi ambazo zimekuwa zikiendelea nitatumia fursa hii pia Mheshimiwa Spika kwa sababu tumekuwa na majibizano ya hapa na pale kupitia wizara ya mambo ya ndani…namuelekeza IGP Wambura asitoe vibali kwa kazi zozote zitakazokuwa zinahusiana na kufanya mikutano ya hadhara…”-Patrobas Katambi, Waziri wa Mambo ya Ndani.
Waziri wa zamani na msomi mashuhuri, Profesa Anna Tibaijuka, ameibua mjadala mzito kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 (Finance Act, 2026), yanayoruhusu Serikali kuchukua mikopo ya dharura kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Profesa Tibaijuka ameonya kuwa hatua hiyo inaweza kuleta majanga makubwa ya kiuchumi nchini ikiwa sheria hiyo haitakuwa na mipaka madhubuti.
Akichambua kifungu cha 69 cha Sheria ya BoT kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Profesa Tibaijuka alikiri kuwa serikali zote duniani zinahitaji fedha za dharura wakati wa majanga, hata hivyo, alitahadharisha kuwa nguvu ya kuunda fedha ni kubwa na inaweza kuharibu uchumi mzima. Alisisitiza kuwa upatikanaji wa fedha kirahisi kutoka BoT unaondoa nidhamu ya soko ambapo serikali inalazimika kushawishi wawekezaji binafsi kukopesha kupitia Dhamana za Serikali (Treasury Bills and Bonds) ambapo katika maoni yake Tibaijuka aliandika,
"Nguvu ya kutoa kodi ni moja ya nguvu kubwa zaidi za serikali. Nguvu ya kutengeneza pesa ni kubwa zaidi. Historia inatufundisha kuwa nguvu hii inaweza kuokoa mataifa wakati wa dharura, lakini pia inaweza kuharibu sarafu wakati nidhamu inapopotea."
Ili kuilinda Tanzania isiingie kwenye dharura ya kiuchumi, profesa huyo alitolea mfano nchi za Zimbabwe na Ghana. Alieleza jinsi Zimbabwe ilivyoanza kukopa kwenye Benki kuu yake kidogo kidogo hadi ikafikia hatua ya kuchapisha fedha hovyo. Jambo hilo lilisababisha mfumuko mkubwa wa bei ulioteketeza akiba za wananchi na kuua thamani ya sarafu yao. Ili kuepuka hali hii, Tibaijuka alisema nchi inapaswa kuachana na mfumo wa kufanya mambo kwa siri.
"Tanzania itahitaji kubadilisha utamaduni wake wa kufanya mambo kwa kificho ili kuepuka mapungufu haya."
Mwishoni, Profesa Tibaijuka ameliomba Bunge la Tanzania kuweka kinga kali za kisheria. Amependekeza kuwa dharura yoyote ithibitishwe kwa pamoja na Waziri wa Fedha na Gavana wa BoT, na taarifa itolewe Bungeni ndani ya siku 14.
Aidha ametaka mikopo yote ilipwe ndani ya siku 180 na BoT iweke wazi kila mkopo kwenye ripoti yake ya mwaka ili kuruhusu ukaguzi wa umma na kulinda uhuru wa Benki Kuu.
Mazungumzo na Mama Anna Tibaijuka
Katika mazungumzo haya Mama Anna Tibaijuka amezungumzia masuala mbalimbali yanayoendelea katika jamii ikiwemo hali ya nchi baada ya Oktoba 29, mijadala juu ya muungano na mengineyo mengi.
Fuatilia zaidi hapa>>>https://t.co/fHM5ECT2J0
Thank you @MuhimbiliOrtho1 for this recognition and honor bestowed on our late Father Prof Sarungi! Naming the main MOI block after him is very touching and a true reflection of his legacy!
As founder of the Orthopedic dept and later Insititute - his dream lives on thanks to all the dedicated doctors and staff!
Shukrani za kipekee kwa heshima hii kubwa kwa Marehemu Baba yetu Prof Sarungi! Mnaendeleza ndoto yake aliyoanzisha akiwa kijana na leo Mungu amemchukua ila ndoto yake imegeuka kuwa kitu halisi!
Tuishi kuacha kazi njema ya maisha yetu
Asanteni sana 🙏🏽