@Adventure_36 Nngekuwa na uwezo wa kumshaur nngemwambia aache hyo pisi mapema au demu asifanye hyo kazi me ni muhanga nimepoteza mwanamke nilieishi nae 3 years hapa hapa dar kisa kapata kazi hotelin mixer kuhama home nambana na nikaachwa mazima watu wantoa pesa bhan