BREAKING: Saudi Aramco shut down its 400,000 barrels per day Jazan oil refinery on July 27 following an attack by Yemen’s Houthis on Saturday, reports Reuters.
🔴 LIVE updates: https://t.co/PTZDU8JK25
China imewahukumu adhabu ya kifo waliokuwa mawaziri wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu kwa makosa ya rushwa.
Wawili hao waliripotiwa kupokea rushwa ya fedha na vitu vya thamani, pamoja na kutumia nafasi zao kuwasaidia watu kupata vyeo kwa njia zisizo halali.