Vijana mna leta dharau kwa watu kwa kivuli cha spana kuna maisha kwa ground, kuwa nyuma ya keyboard isikifanye kutotumia busara na kujiona shujaa, ishi na watu poa.
AZIZA RELATIONSHIP AND CARE TRAINING CENTER Inatoa Mafunzo Ya Vitendo Kwa Ngazi Ya Cheti, Jinsi Ya Kutoa Zawadi Ya Birthday Kwa Mwenza Wako. Wadada Wote Mnakaribishwa
Kumwamini Mwenyezi MUNGU wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki 🙏🏼