NVRF is a non government organization started on 2008 in Tanzania.
NVRF Vision is to fight against poverty, ignorance and disease through sports and play.
Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Maulid un-Nabi. Sherehe hii ya kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) iwe tafakari njema tunapoendelea kufanya kazi kuijenga nchi yetu na watu wake, na kuitunza amani, umoja na mshikamano tulio nao.
#MaulidNabiMuhammadSAW
REGIONALS 🇺🇸 Our Under-15 Girls are currently in Idaho for the Far West Regional Championships - and they've taken the opportunity to enjoy some hugely valuable life experiences along the way... we're so proud of you!
#7eliteacademy#uysa#utahyouthsoccer#youthdevelopment
@pendolovey@Youth4ChangeTz@CanadaTanzania@EUinTZ@QueensLeaders@commonwealthsec sisi kama vijana wa NVRF tumeanzisha club katika mitaa ambayo tumeichagua na kukuwatumia maigizo pamoja na sarakasi kukusanya jamii baada ya hapo elimu hutolewa kwa jamii nzima inayotunzunguka tumefika mitaa sita ya mabibo, mitaa miwili mwananyamala, na mitaa 3 ya kigogo.
Tunawashukuru mahakimu wa mahakama ya Rufaa Tanzania kwa kusimamia sharia na kuamua kumlinda mtoto wa kike kwa kuamua kupinga ndoa za utotoni na kusimamia sheri kuwa anaeolewa ni miaka 18 tupinge ndoa za utotoni kwa nguvu kumlinda mtoto wa kike.
Mr. Elias Ayoub the Global Country Right To Play visits the NVRF Institute, Director of NVRF presenting 4 thematic areas nvrf working 1. Gender Based Violence, 2. Child Protection, 3. Education for Youth and Chilren 4. Empowering youth through sports and games.