Today @SAYoF_SADC feature Trainees/ SADC Peace Advocates; first Cohort Training in Peacebuilding with KAICIID under our project #SadcYouth4Peace today Its Mamohau Thetsane from Lesotho #SADCYOUTH
Maziwa Makuu
Tukumbushane. Tanzania ina milki ya % kubwa ya Maziwa Makubwa matatu ya Afrika - Victoria, Tanganyika & Nyasa
Hii ni:
.robo ya maji fresh yasiyoganda yote duniani
.10% ya samaki wote duniani
Tanzania ni nchi ya kipekee kwa rasilimali. Mno!
#SADCYOUTH ANNOUNCEMENT:
Young people in SADC, @SAYoF_SADC will soon announce A CALL FOR COMMITTEE MEMBERS to plan and coordinate the upcoming 2nd SADC Youth Parliament &SADC Youth Forum to be held in August 2020. Watch this space! #SADCYOUTH@PetriderPaul@SylvaArmel@faryus88
Mwanamke Kiongozi katika sekta yoyote ni muhimu sana kujitengea muda na kuwa na desturi ya usomaji na ufuatiliaji wa program mbalimbali zinazolenga kuinua Wanawake
Wanawake wanapiga hatua, haswa wakisimamia ajenda zao kikamilifu
https://t.co/AioAs8HZoN
#ElimikaWikiendi
Ni vema kuendelea kujifunza kupitia Wanawake waliopiga hatua katika nyanja mbalimbali haswa za Kiuongozi
Na ni vema wao kuwa na utayari wa kuelezea Safari zao, mapito yao, changamoto na mafanikio yao ili kuhamasisha kizazi kijacho
#ElimikaWikiendi
Duniani kumekuwa na Taasisi kadha wa kadha za kuinua Wanawake- na kuwaunga mkono kwenye michakato yao mbalimbali
Ni vema Taasisi zetu za Wanawake Tanzania zikiendelea kutengeneza Ubia na Ushirika na Taasisi hizi ili kushirikiana nao
https://t.co/DMtaulZmgc
#ElimikaWikiendi
Vijana ndio nguzo ya mabadiliko katika jamii. Kutana na vijana ambao wamejitolea kusambaza taarifa sahihi kuhusu janga la Covid19 #Covid19ChampionsTz tag Femina tag UNICEF tag na wengine uwapendao
Maegesho ya gari nyumbani
Maeneo mengi yanayopendwa mijini viwanja ni gharama sana. Na wengi hawapendi kwenda mbali nje ya mji. Ndio maana parking ya gari huwa inafinyiwa ndani ya plan ya nyumba
Garage
Smart space use for home parking
Photo courtesy
Ofisi ya Makamu wa Rais inatangaza mashindano ya uandishi 📝 wa Insha kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira
Mahindano haya yapo wazi kwa ;
🥇Shule za msingi,
🥈Shule za Sekondari
🥉Vyuo vya Elimu ya Juu
Masharti na vigezo kuzingatiwa👇
Wanafunzi wa UDSM ambao Mwalimu alikuwa anawaalika nyumbani kwake ili kujadili naye,walikuwa huru kumuuliza mambo mbali mbali.Aliwapongeza kwa kazi kubwa waliokuwa wanaifanya kwa jamii na kufundisha watu kusoma.Pia aliwajulisha kuhusu historia na mambo ya kimataifa
Miradi tunayofadhili ya kupinga MILA POTOFU imejikita katika kusaidia kuhamasisha wana jamii na serikali za mitaa na vitongoji kuweza kuhamasisha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto wa kike kwa ustawi wa jamii endelevu.
#16Days#siku16ZakupingaUkatiliWakijinsia@FCSTZ imedhamiria kukomesha mifumo yote ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kwa kutoa ruzuku kwa asasi mbalimbali nchini zinazotekeleza miradi inayopinga Mila Potofu na miradi ya Haki ya Wanawake Kumiliki Ardhi na Mali
Je una birthday,anniversary,graduation,baby shower n.k je unahitaji Mapambo mbalmbal ya nyumban na ofisini 🌸@Nahlovepetals ndio jibu la maswali yako.📞0719616122✅tuffolow instagram kuona kazi zetu🙏.#TwitterGulio
Kuona mtu kama Bezzos ametumia miaka 25 kufocus kwenye kukiboresha kitu kimoja over and over bila kukata tamaa. It’s inspiring.
Kwenye kipindi nilichofanya na Mkasi 2015 nakumbuka I said “you get what you work for, not what you desire”. I still believe this.
We join our partner @Mengifoundation in honouring their founder Reginald Mengi whose acts of selflessness and service to humanity continue to make a stamp in supporting the lives of the people of Tanzania.
Kama wewe ni Mwanafunzi na unapenda kusoma na wenzako (kikundi soma). Mkiwa mnakutana kwa ajili ya majadiliano (discussions) beba extension cable kwenye bag. Mara nyingi wahitaji wa kutumia umeme ni wengi kuliko idadi ya socket.
😊 Chukua point 3️⃣ hizo
#TajTips#Vimbeta#Tips