@tanpol Kwann msitoe hayo maelekezo pale tu mnapomkamata mtu mpka msubir muone kama ana ndugu wakumpigia kelele ndo mnatoa
Kama hapo huyo ndugu mwengne hamtak kumtaja kama hana jina vile kisa sio maarufu ndo mnamwita ndugu
@HildaNewton21 Jaji Ndunguru: jibu tu swali shahidi umeiambia mahakama au hujaiambia.
Mhe. Lissu: Narudia tena nitawaambia wakati wa final submission nimemaliza.
Jaji Ndunguru: Haya sasa wakili wa serikali endelea mbele. Jibu ndio limeshatoka hilo na halitabadilika.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣