@Sukayotz Maswali ya kujiuliza " 1) akae na mali ana peleka wapi? 2) Akuvutie alafu akupeleke wapi? 3) Aache kufunga, ampunguze beki alafu ampeleke wapi? 4) Long ball zakwenda wapi? Cha muhimu na kinocho hesabika ni amefunga. Ame to assist , timu imebeba point 3 ๐๐ yeye afanye tu ivoivo.