Critical minerals are the new oil.
Africa is the new Gulf concentrated reserves, weak central states, mobile capital, three superpowers competing for offtake.
Cobalt in DRC.
Copper in Zambia.
Lithium in Zimbabwe and Mali.
The scramble doesn't change the doctrine.
Just the commodity.
Source:the economist
Michael Jackson’s drummer, Jonathan Moffett, performs “Smooth Criminal,”
MJ once said: “My bass player makes a mistake, my guitar player makes a mistake, I make mistakes sometimes, but Sugarfoot never makes a mistake.”
Tume ya Madini kwa ushirikiano wa Shirika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Taasisi ya kuendeleza Uchimbaji Mdogo (FADev wameendelea kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika Mkoa wa Morogoro ikiwa ni Mkakati wa serikali kuwasaidia wachimbaji wadogo Tanzania.
Yesterday, FADev had the opportunity to visit the Office of the Resident Mines Officer in Morogoro Region, where they held discussions with officials on effective strategies to support small-scale miners involved in development minerals.
#capacitybuilding#DevelopmentMinerals
After COP30, one message stands out: climate action starts locally. In Africa, the Caribbean and the Pacific, everyday minerals like sand, clay, limestone and aggregates build stronger communities. Supporting small-scale miners means investing in sustainable, low-carbon pathways.
We had the opportunity to visit a gypsum mining site in Itigi, where we provided training on various methods of identifying rocks and the minerals they contain.
The participation of women is crucial for the growth and sustainability of the small-scale mining sector.
#sitevisit
Last week, FADev had the opportunity to visit the Office of the Resident Mining Officer in Dodoma Region and held a meeting with the Resident Mining Officer, Mr. Menard Msengi.
#Onsitetrainings#DarasaMgodini#PoriToPori#capacitybuilding
Mbunge wa Gairo, Ahmedy Shabiby amesema kuwa Watanzania wa leo wana uelewa mkubwa na uwezo wa kutambua kwa haraka pale kunapokuwa na viashiria vya wizi au mikakati ya dili katika mifumo ya kiuchumi. Alisisitiza kuwa jamii ya sasa si ile ya zamani, kwani ina macho na akili ya kuchambua mambo yanayotokea nchini.
Shabiby alieleza kuwa licha ya kuepuka kwa muda mrefu kuzungumzia masuala ya mafuta, amelazimika kufanya hivyo kutokana na hali halisi ilivyo. Alikumbusha kuwa hata katika kipindi cha vita kati ya Urusi na Ukraine, ambacho kwa nchi nyingine kilikuwa fursa ya kupata mafuta kwa bei nafuu, kwa Tanzania hali imekuwa tofauti na badala yake imeongeza mzigo kwa wananchi.
Akirejea historia ya mwaka 2007, alisema kuwa ujio wa mwekezaji mmoja kutoka India aliyenunua kampuni ya Gapco uliibua ushindani mkubwa katika soko la mafuta. Kwa mujibu wake, mwekezaji huyo alitumia mfumo wake wa usafirishaji na kusababisha bei ya mafuta kushuka kwa zaidi ya shilingi 400 hadi 500 kwa lita, hali iliyowanufaisha wananchi lakini ikawa changamoto kwa makampuni mengine.
Hata hivyo, alidai kuwa baadhi ya makampuni ya kigeni kwa kushirikiana na wadau wa ndani waliingia makubaliano yasiyo rasmi ili kuzuia ushindani huo. Alieleza kuwa hatua kama kusitisha uuzaji wa mafuta kwa muda zilichukuliwa kama mbinu ya kupandisha bei na kuondoa ushindani wa soko.
Kwa mujibu wa Shabiby, baadaye mfumo wa ununuzi wa pamoja wa mafuta ulianzishwa, ambapo wafanyabiashara wote hulazimika kununua kwa bei moja na kuuza kwa bei iliyopangwa. Alisema hatua hiyo imeondoa kabisa ushindani, kwani hakuna mfanyabiashara anayeweza kushusha bei kivyake.
Aliongeza kuwa hali hiyo ilimlazimu mwekezaji huyo kuondoka kwenye soko baada ya kukosa mazingira ya ushindani wa haki, huku akisisitiza kuwa mfumo uliopo sasa unazuia ubunifu na ushindani.
Aidha, Mbunge huyo alieleza kuwa bado kuna fursa katika soko la kimataifa, akitaja uwepo wa mafuta yanayouzwa kwa bei ya chini katika maeneo ya kimataifa, yakiwemo yanayotoka Urusi. Alisisitiza kuwa iwapo wafanyabiashara binafsi wangeruhusiwa kuagiza mafuta moja kwa moja, wangeleta ushindani wa kweli na kusaidia kushusha bei kwa watumiaji wa mwisho, huku jukumu la serikali na mamlaka husika likibaki katika udhibiti na upangaji wa bei kwa uwazi.
Akihitimisha, Shabiby alionya kuwa kuna dalili za kuwepo kwa mifumo ya upangaji wa dili inayowanufaisha wachache, na kutoa wito wa kufanyika kwa mageuzi ya sera ili kuhakikisha sekta ya mafuta inanufaisha Watanzania wote.
@BenjaminNorton This is really unsettling for Africa
The bravado and the dismissal of what colonialism did to Africans. The insult of the sacrifice of fighting it, it feels like going back is all that the West wants. Scary