WATERLOO NA MSAADA WA ROTHCHILD KWA UINGEREZA
Tunarudi kulekule kwamba ukisikia familia inayoitwa Rothchild basi utakuwa umesikia kuhusu kitu kikubwa sana. Tena sana.
Hii familia ilianzia wapi? Usijali! Kuna siku nitakuja na kulifafanua hili na mpaka walipopata nguvu zao.
.
.
kwenda kuwa mfalme wa wapi? Wales? Basi aende huko na asiwe kule Ireland, yaani kila kitu wao ndiyo watakuwa waamuzi wa mwisho.
Lilikuwa jambo gumu sana kukubaliana nao ila waliona kabisa kama wasingekubali basi wasingeweza kumpiga Napoleon, wakaamua kukubaliana nao. Wakapewa
Mwanamke unayemuona kwenye picha anaitwa Helen Johnson kutoka huko Tarrant, Alabama nchini Marekani.
Mwanamke huyu alikamatwa kama mwizi akiwa ameiba vitu kadhaa katika supamaketi moja, wahusika wakapiga simu polisi na hatimaye kufika mahali hapo.
.
.
.
Polisi alipofika akamuuliza Helen aliiba nini, akamjibu mayai matano kwa ajili ya kuwapa watoto wake waliokuwa na njaa.
Badala ya kumkamata, akamchukua na kumuingiza ndani ya supamaketi ile na kumnunulia mahitaji yote ya vyakula aliyokuwa akiyataka.
Kwa uchungu Helen akasema:
@mkata_abbas@Labella_Mafia95 Si kweli. Nenda kaangalie documentary yake ya This Is It utajua zaidi manake baada ya ile documentary akafariki. Hizo stori za mitaani tu.