@GeorgeJob14 Trading ni process,sio Chapchap km LBL,KALYINDA,,,
Lazima ukaechini,usome kama upo darasani kwa muda hata mwaka mmoja,then practical kwa miezi sita,,wengine hata miaka miwili ndy anakuja kuwa profitable,,sio kitu ya kukimbilia hovyooo,,lazima ukubali kuumia ili kumaster strategy.
@GeorgeJob14 Ila Traders wengine ni wanakaushamba frani hivi wa kutaka sifa kuonyesha watu Mali zao,,,lakini ukute trader Aliekua Smart na patient kwenye trading,hawezi fanya mambo hayo,sababu analijua hilo soko jinsi lilivyo,kdgo tu linakumaliza hela zote mwishowe uone aibu,,,,lazima u-calm
@GeorgeJob14 Trading inahela sana,faida zipo,,,wanao charge fee ili kukufundisha,sio kwamba wanashida na hela yako,,ni vile ili uone uchungu wa fedha yako ndy ukomaliee,,maana wanapata faida kubwa sana kuzid hy fee yako kwenye forex trading,pia wanaloose pia kwa kuzingatia CALCULATED RISK.
@GeorgeJob14 Brother "G" ukweli ni kwamba,zipo pande mbili,,,kuna wale wanaotrade kimya kimya bila mentorship,na kuna wale wanaotrade na pia wanafundisha watu na kwa lengo la kuwasaidia watu na kuna wale wanaotegemea mentorship pekeyake,,,,