@MariaSTsehai Mchango wa kila mtu ni muhimu ila maozo ya nchi hii ni karibia kila mtu anayajua na yanatukera, hivyo nashauri tuelekezwe na kupewa mkakati wa kutoka, ifahamike hawa watu wamekesha leo huko kwa ajili ya 7/7, sasa bila maelekezo tutakaa hapa hiv hiv af mambo yawe kam 9 December
@Jambotv_ Mtawadanganya hao hao mliowabeba mitaani na macosta mkawajaza hapo ukumbini ila vijana wenyew halisi tuna akili timamu tunaliona jambo, tunalichambua wenyew na kufanya maamuzi.
@Baraza_Kuu Tumepiga kelele kwa ajili yake ni kwa sababu tunathamini kila mtu sasa asijidanganye akajua ana uwezo wa kutushawishi, atulize komwe afanye bishara zake
@MariaSTsehai Shangazi space inaboa haitoi mikakati inajidili post za mitandao, tushajua tukio ni #9D na tuna siku 7 tu, nadhani space ijielekeze kwenye kujadili tunatokaje plzzz