@godbless_lema Yani sio mtegemee kizuri hakina kasolo mnatakiwa mjue pia muwe makini kujilindana kuwalinda wagombea kwasababu sio wote watakao kuja kwenye msafala au kwenye mikutano et wanawapenda au mkitegemea niwanachama,hata Kama wamevaa ccm au chadema punguzeni lawama
Mstari wa leo : Isaya9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
@EduTalkTz Hiii nchi inahitajika maombi ya ukweli na Toba ya kweli tofauti na hilo Mungu atatupiga vibaya usione tetemeko Kule Wala Huku, au mafuliko Huku Wala Kule yote hayo yanaweza kusababishe na watawala au raia sodoma gomora sio Kwamba ni uzinifu2 hataufujajiwapesa
Mmarekani mweusi wa kwanza kumiliki stesheni ya Redio USA, Manager aliyekuza Muziki wa wengi mfano Michael Jackson, Whitney Houston, Boys II Men nk, hata wakamuita βBlack Godfatherβ. Mshauri wa Obama na Bill Clinton na Wanamichezo wengi, Clarence Avant amefariki akiwa na miaka 92
#OnThisDay in 2016, Gini Wijnaldum signed for Liverpool
π΄ 237 appearances
β½οΈ 22 goals
π °οΈ 15 assists
π Champions League 2019
π European Super Cup 2019
π Club World Cup 2019
π Premier league 2019/20
1οΈβ£ Special Performance against Barcelona