@kasesco_tz Hakuna dini kweli na si dini kweli... all religions zinalenga Mungu mmoja, the only thing, ni ku choose knowledge side kwa kujifunza vitabu vya dini haswa ancient na sio modern dini ili kumfikia Yule alie Yeye
#knowledge
@MarekaMalili@Cowwbama - Ya mwisho, upande wa verification code, nimechagua Email, ila naona nimetumiwa both email na Sms... you can fix that.
The rest, we are all good.
@MarekaMalili@Cowwbama Nimeipenda app... just suggestions:
- Map
- Kama kunauwezekano wakutumia other forms of payments kama bank mfano sana sana Selcom
- Pia marekebisho mtu akiwa anaandika details zake, kusiwe unaandika herufi moja afu apo apo inatokea warning, just mtu amalize ndo iimpe warning.
๐
@MarekaMalili@Cowwbama - Pia kama inawezekana kuwe na ile sign up ya automatic straight from Google au Apple na si lazima sana mtu ku type kila kitu.
- Pia kuwe na remember me, endapo my account ipo kwa simu yangu, ina detect to automatically
@MaxTz255_ Ameamini yeye na kawaambia wanaomuamini... muache aende zake.. the only thing is, watu tusiache kujali afya zetu na tusiache kufanya research #TusikomeKuResearch
@Sameer_Elibarik@pastajoshuatz Habari kaka...
Kiukweli ata nikisema nikuelezee, ningumu kunielewa, unahitaji utoke nje ya Box uwe parachute ili upate kuelewa. Kiufupi kila dini unayoiona apa duniani maandiko yanafanana na kwenye bible.
Ila nakufwata DM tuzungumze zaidi.