Nimefika ile point ya kuchoka kabisa... like I'm just letting people have their way with everything. nashuka kwa gari na huyu mtu anachukua suitcase yangu ananipeleka kwa gari za Busia, namfuata tu aki Sina nguvu ya kubishana. Wacha tufike huko aniambie naenda Busia kufanya nini
Ndio natoka kufanya cat na nimerealise hiyo hall inahitaji some renovations. Kama hiyo wall inahitaji repainting na ceiling ibadilishwe before ituangukie. Alafu out of all the tube lights, sita pekee inafanya kazi. Ndio maana nimeona giza.
Drama in Kabianga after a third-year lady cries in public.We have dated with Duncan since I was in first year up to now he is graduating," she says.Duncan has come with his wife and 2 children for the graduation. Kumbe Duncan was married uko Bomet ๐ Comrades learn or perish ๐ญ๐คญ
Ndio naambianga wazee you need to stay unpredictable for your wife to respect you,saa zingine amka mapema vaa suti Na na mask,weka simu DND na uapnde kwa ceiling,ukiwa huko utaskia kila kitu bibi anakupangia,she always tells her friends,Ata unaezapata mtoto wako si wako buana
Cold war na bibi huja hatari sana, ukirudi nyumbani unapata walipika chakula 6pm na wakaosha vyombo kipii iko tu hapo inanyamba juu ya kushiba, inabidi uvumilie njaa hadi asubuhi juu hutakikumuongelesha Asubuhi unapata ndufia juu ya meza, hapa ndio unauliza mama Liam shida nigan