@SamataJr_12@PichaNzuri@Mazikuagric@themkulima Huo bacterial blight ya mpunga haina dawa, apo unacheza tu. Ni marekani tu huo ugonjwa hujaingia...kwingine we usizidishe sana mambolea hasa yenye Nitrojeni nyingi.
@PolycarpMDM Mie nimegundua kumbe watu si watu. Binadamu ni mazombie na mavempire ni suala la kuchange mode uitakayo saizi ya usaint ndyo inaishia. Tena ni simple sana. Tushukura sana uwepo wa dini. Watu walikuwa hawaohopi bunduki afu na wenuewe hawana ata mawe. Wanawafuata tu.
@Kiganyi_ Tiktok ni new world order, maandamano yote dunian yako kule. Pia jews hawaitaki kabisa sababu watu wengi wanakuwa opened. Tiktok wako na algorithm kali sana... Na habari mpya nying mno
@salim_alkhasas Apo umezingua, ukiwa tajiri punguza uswahili. Maskini hukelwa zaid na neno la tajiri. Yaan apo angeongea mtu mwingine fresh. Lakn ww boss sio sawa.